Imedaiwa kuwa huyu ndio binti shemeji mwenye umri chini ya miaka 17, anayedaiwa kubakwa na mume wa msanii wa nyimbo za injili, Flora Mbasha katika sakata linaloendelea kwenye magazeti pamoja na mitandao ya jamii.
Hata hivyo kuna ushahidi wa sauti ya mume wa Flora Mbasha akimmbembeleza kwenye simu akiomba msamaha kwa yaliyotokea na kueleza kwa kiasi gani alivyo na nia njema na binti huyo pamoja na familia nzima.
Chini ni picha inamuonesha baba huyo akiwa chini ya ulinzi wa jeshi, hapa maswali kibao, sijui kwanini jeshi
No comments:
Post a Comment