
50 cent akifanya mahojiano na FOX 29 katika kipindi cha Good Day amesema albam ipo njiani inakuja mashabiki wakae tayari ,
"Yes…yes utaona albam mwishoni mwa mwezi november " amesema 50
albam hiyo itakuwa ya tatu kwa G-Unit ya kwanza walitoa mwaka 2003 ( Beg For Mercy )2007 T.O.S. (Terminate on Sight).
No comments:
Post a Comment