skills za kitaa

Friday, June 27, 2014

Evander Ajadili tukio la Suarez kumng'ata Sikio mchezaji mwenzake

Holyfield amejitosa sakata la mshambuliaji  wa timu ya taifa ya Uruguay Alberto Suarez anayekabiliwa na shitaka la kumng'ata beki wa timu ya taifa ya Itali Giorigio mbele ya Kamati ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).


No comments: