skills za kitaa

Sunday, September 15, 2013

OMMY DIMPOZ NA USIKU WA KUTOKUKUNJA GOTI ILIVYOJILI


Siku ya jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya msanii Ommy Dimpoz na birthday party ilifanyika pande za Elements Club. 
Wasanii mbalimbali kama Mwana FA, Fid Q, Shaa na Mpenzi wake Master J waliweza kuudhuria na kuumpa company mzee wa Poz kwa Poz siku ya jana. 
 CLICK OLDER POST KWA HABARI ZAIDI

No comments: