HAYA NDIYO YALIOJILI UZINDUZI WA FOOLISH AGE YA LULU
Mama na mwanao ni kama chanda na Pete... huyo ni Natasha (kulia) na Bintiye Monalisa.
.... Walitunzana tu kivyao vyao...
noti alizo tuzwa
Rich Rich akimwaga noti
Wadau wakifuatilia uzinduzi huo wa Filamu.
Furaha ilitawala
Mwogozaji wa Filamu za Kibongo, Leah Mwendamseke nae alikuwepo kuangalia kazi hiyo ya Lulu.
Waongoza Shughuli hiyo watangazaji wa Redio na TV Double G na mwana dada kutoka Times FM walikuwepo.
No comments:
Post a Comment