skills za kitaa

Tuesday, November 3, 2015

Tupia macho Video ya Justin Bieber

Tilal ya Jay -Z kuja na vichekesho

Lil Wayne kutinga na ngoma mpya

Bella:Uwezo wangu unazidikuwa mkubwa

Msanii na mmiliki wa Bendi ya Malaika Band, Christian Bella amefunguka na kusema anamshukuru Mungu uwezo wake kimuziki unazidi kuwa juu kila siku.
Msanii Christian Bella akifanya yake stejini
Christian Bella ni kati ya wasanii ambao walifanya vizuri na kuweza kukonga nyonyo za mashabiki wengi walitokea katika shoo ya Wizkid pale Leaders Club siku ya Jumamosi ya wiki iliyopita.
Akipiga stori katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Bella amesema shoo ile ilikuwa ngumu lakini aliipenda kwa sababu walipata nafasi ya kutosha kuimba kwa nafasi jambo ambalo lilifanya mashabiki waweze kusikia nyimbo nyingi zikiwa zimekamilika tofauti na shoo nyingine ambazo huwa wanaimba nyimbo nusu nusu ili kupisha wasanii wengine nao waweze kuimba.
"Shoo za wazi kama hizi huwa zinakuwa ngumu sana lakini nashukuru Mungu niliweza kufanya shoo na watu walinielewa ila niliipenda shoo kwa sababu tulikuwa tunanafasi ya kuimba nyimbo nyingi nzima bila kukata kata,” alisema Bela na kuongeza “Unajua kwenye shoo nyingi za wazi huwa tunaimba viitikio tu na sehemu maalumu za wimbo ili kupisha wasanii wengine nao waweze kuimba lakini hii imekuwa tofauti, ingawa ilikuwa ngumu kwa msanii maana ilikuwa lazima ujipange vyema kuwa na orodha ya nyimbo nzuri ili uweze kuwapa raha mashabiki na nilifanikiwa katika hilo" .
Christian Bella, Fid Q pamoja na Diamond walimsindikiza vyema Wizkid katika shoo hiyo ambapo wasanii hao waliweza kufanya shoo Live kwa kutumia bendi.

Sikiliza Madam Rita anavyozungumzia inshu za shindano lake

 Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka Madam Rita

Belle 9 akiongelea ujio wake mpya

Tupia macho hapa chini

Mwimbaji na rapa aliyetesa na bendi za Chuchu Sound na Pamo Sound - Mao Santiago
 (pichani juu), amedhihirisha kuwa bado wamo baada ya kuachia wimbo wake mpya kabisa.
Wimbo huo unakwenda kwa jina la “Mwandani” ukiwa umerekodiwa kwenye studio za Chacho
Fleva ya producer Babu Bomba. Ndani ya wimbo, bass na kinanda vimepigwa na Babu Bomba
wakati solo limekungutwa na Yaniki. Pata uhondo wa wimbo “Mwandani”
Mwimbaji na rapa aliyetesa na bendi za Chuchu Sound na Pamo Sound - Mao Santiago (pichani juu), amedhihirisha kuwa bado wamo baada ya kuachia wimbo wake mpya kabisa. Wimbo huo unakwenda kwa jina la “Mwandani” ukiwa umerekodiwa kwenye studio za Chacho Fleva ya producer Babu Bomba. Ndani ya wimbo, bass na kinanda vimepigwa na Babu Bomba wakati solo limekungutwa na Yaniki. Pata uhondo wa wimbo “Mwandani”

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/11/new-audio-mao-santiago-bado-wamo.html#more
Copyright © saluti5Mwimbaji na rapa aliyetesa na bendi za Chuchu Sound na Pamo Sound - Mao Santiago
 (pichani juu), amedhihirisha kuwa bado wamo baada ya kuachia wimbo wake mpya kabisa.
Wimbo huo unakwenda kwa jina la “Mwandani” ukiwa umerekodiwa kwenye studio za Chacho
Fleva ya producer Babu Bomba. Ndani ya wimbo, bass na kinanda vimepigwa na Babu Bomba
wakati solo limekungutwa na Yaniki. Pata uhondo wa wimbo “Mwandani” kutoka kwake Mao
Santiago ambaye anapatikana kupitia simu namba 0714268624.

SAMATTA AINGIA TOP 10 KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRICA

Mbwana Samata
Mbwana Samatta
Mbwana Samatta ameingia kwenye orodha ya wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji bora barani Afrika. Samatta anawania tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (African Player of the Year (Based in Africa) 2015.
Mshindi wa tuzo hiyo ataamuliwa kwa kura zitakazopigwa na makocha pamoja na wakurugenzi wa ufundi wa nchi wanachama wa shikicho la mpira wa miguu Afrika (CAF).
Pia shirikisho hilo limetoa orodha nyingine ya wachezaji wanaowania tuzo ya Afrika ambayo inahusisha wachezaji wanaocheza ligi za ndani au nje ya Afrika.
Tuzo hiyo itakabihiwa kwa mshindi Alhamisi, 7 January 2016 Abuja, Nigeria.
African Player of the – Year Based in Africa
Abdeladim Khadrouf (Morocco & Moghreb Tetouan)
Baghdad Bounedjah (Algeria & Etoile du Sahel)
Felipe Ovono (Equatorial Guinea & Orlando Pirates)
Kermit Erasmus (South Africa & Orlando Pirates)
Mbwana Aly Samatta (Tanzania & TP Mazembe)
Mohamed Meftah (Algeria & USM Alger)
Mudather Eltaib Ibrahim ‘Karika’ (Sudan & El Hilal)
Robert Kidiaba Muteba (DR Congo & TP Mazembe)
Roger Assalé (Cote d’Ivoire & TP Mazembe)
Zineddine Ferhat (Algeria & USM Alger)
 African Player of the
André Ayew (Ghana & Swansea)
Aymen Abdennour (Tunisia & Valencia)
Mudather Eltaib Ibrahim ‘Karika’ (Sudan & El Hilal)
Mohamed Salah (Egypt & Roma)
Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Borussia Dortmund)
Sadio Mané (Senegal & Southampton)
Serge Aurier (Cote d’Ivoire & Paris Saint Germain)
Sofiane Feghouli (Algeria & Valencia)
Yacine Brahimi (Algeria & Porto)
Yaya Touré (Cote d’Ivoire & Manchester City)chanzo http://shaffihdauda.co.tz
Mwimbaji na rapa aliyetesa na bendi za Chuchu Sound na Pamo Sound - Mao Santiago (pichani juu), amedhihirisha kuwa bado wamo baada ya kuachia wimbo wake mpya kabisa. Wimbo huo unakwenda kwa jina la “Mwandani” ukiwa umerekodiwa kwenye studio za Chacho Fleva ya producer Babu Bomba. Ndani ya wimbo, bass na kinanda vimepigwa na Babu Bomba wakati solo limekungutwa na Yaniki. Pata uhondo wa wimbo “Mwandani”

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/11/new-audio-mao-santiago-bado-wamo.html#more
Copyright © saluti5

R. Kelly - Backyard Party

VIDEO: Interview ya Ruby

wavu kushiriki Kombe la Taifa Desemba Nne

Timu nne za mpira wa kikapu mkoa wa Dar es salaam zinatarajia kushiriki mashindano ya kombe la taifa yatakayoanza kutimua vumbi Desemba nne mwaka huu.
Katibu mkuu wa chama cha mpira wa wavu mkoa wa Dar es salaam DAREVA Yusuph Mkalambati amesema, timu hizo zitapatikana Desemba 29 mwaka huu baada ya kumalizika kwa mashindano ya wavu ufukweni.
Mkalambati amesema, timu nne ambazo zitafanya vizuri katika mashindano hayo zitauwakilisha mkoa wa Dar es salaam katika masshindano ya kombe la Taifa.
Mkalambati amesema, mashindano ya ufukweni yanaendelea yanashirikisha timu za klabu za mkoa wa Dar es salaam yakiwa na lengo la kuweza kupata wachezaji azuri watakaoendeleza kutangza mchezo huo ndani na nje ya nchi.

Imebainika kumbe Wizkid alikuwa akingojea watu makini

Baada ya mwisho wa wiki kufanya shoo kali ya aina yake katika viwanja vya Leaders Club, nyota wa kimataifa Wizkid ambaye ni mara yake ya kwanza kutumbuiza Tanzania, ameeleza kuwa alikawiza ujio wake ili kufanya kazi na watu sahihi.
nyota wa muziki wa Nigeria Wizkid
Wizkid ambaye alikiri kuwa na mapenzi pekee na kuwakubali mashabiki kutoka hapa Tanzania, ameeleza kuwa amekuwa akiwasiliana na kupata maoni mbalimbali kwa njia ya mtandao, kumtaka kwa ajili ya kutumbuiza hapa nchini.
Kati ya mambo mengi aliyoongea pia, staa huyo akagusia chanzo cha wimbo wake mkali wa Ojuelegba alioufanya kubainisha msoto aliopitia kutoka maisha ya chini kabisa, ikiwa ni rekodi aliyoitengeneza kwa mitindo ya miondoko huru na kuirekodi mara moja pekee.
Wizkid pia akaeleza juu ya lebo yake kubwa ya Starboy ambayo inajihusisha na burudani kwa upana wake, akiwa amechukua wasanii wawili wapya atakaowatambulisha hivi karibuni.
Vilevile akamalizia kwa kueleza alichokuwa anakiwaza baada ya hatua yake ya kujaribu kumvuta msanii Dej Loaf kutoka Marekani katika himaya yake ya kimapenzi.
na hapa anaeleza mwenyewe juu ya ujio wake na kwanini wakati huu.