skills za kitaa

Sunday, August 24, 2014

SOMA HAPA HABARI HII YA KUVUTIA

SOUND CLOUD KULIPA WASANII

Akon
Akon
soundcloud0

Kampuni Sound Cloud itaanza kuwalipa wasanii na makampuni ya muziki yatakayoweka nyimbo zao kwenye mtandao huo na kusikilizwa pia kupakuliwa ikiwa ni hatua ya kushindana na mitandao mingine ya Youtube na Spotify.
Kampuni hiyo imesema itaanza kuwalipa wasanii ambao nyimbo zao zinasikilizwa Marekani na malipo yatafanyika kwa kuangalia idadi ya watu waliosikiliza. Sound Cloud kwa sasa inapata watu zaidi ya milioni 175 kwa mwezi.

No comments: