skills za kitaa

Monday, March 11, 2013

Kumbe Uhuru Kenyatta wa Kenya ndiye Rais tajiri zaidi Africa!


bongo5 wrote:
Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta ndio rais tajiri zaidi barani Afrika. Kenyatta alikamata nafasi ya 26 mwaka 2011 kwenye orodha ya watu matajiri zaidi barani Afrika kwa kuwa na utajiri unaofikia dola milioni 500.

Mtoto huyo wa rais wa kwanza wa Kenya Jomo Kenyatta ni mrithi wa mali kibao zilizopo Kenya. Anamiliki ardhi yenye ukubwa wa acre 500,000 katika maeneo mbalimbali nchini humo.

No comments: