skills za kitaa

Monday, March 11, 2013

Ben Pol na Rama Dee washangazwa na mtandao huu wa simu unaouza nyimbo zao bila ridhaa yao


Imeandika gongamx :
Wasanii wa kizazi kipya (Bongo Flava) bado wamekuwa wakilalamika kuibiwa mapato kama sio kazi zao bila ruhusa zao. 

Mapato hayo ambayo yako katika mfumo wa miito ya simu, yaani caller tunes wameonekana kutokushiriki kwenye mauzo haya na wengine wameonekana kulalamika moja kwa moja kupitia mitandao ya jamii.

No comments: