Serena williams ameendelea kuwa bora zaidi duniani baada ya kumshinda
dada yake Venus william katika mashindano ya US Open na kuzidi kusonga
mbele.
Serena ambaye anashika nafasi ya kwanza kwa rekodi bora duniani
amemshinda dada yake kwa seti tatu ya 6-2 1-6 6-3 zilizompa nafasi ya
kuweza kuingia kwenye mashindano ya nusu fainali huko New York,Marekani.
Katika hatua ya nusu fainali, Serena atachuana na mwanadada wa nchini Italia Roberta Vinci kesho.
No comments:
Post a Comment