Hatimaye mbio za kumsaka Miss dar City Centre 2014 zahitimishwa jana
usiku katika ukumbi wa Dar es salaam free market baada ya mshiriki namba
kumi na saba (17) Jihan Dimechk kutawazwa mshindi wa Miss Dar City
centre 2104.
|
washindi tatu bora miss dar city centre 2014 Jihan Dimachk (katikati) |
|
mtazamaji akipozi Red Carpet |
|
Pozi za red carpet |
|
Washiriki wa Miss Dar city centre 2014 wakifanya show ya ufunguzi |
|
Washiriki Miss dar city centre 2014 wakifanya show ya ufunguzi |
Washiri wa Miss Dar city centre katika mavazi ya ufukweni
Washiriki wa Miss dar city centre katika mavazi ya ubunifu
Msanii wa bongo fleva TID ndiye aliyekuwa akitumbuiza usiku huo
|
Tid akiwa jukwaani anatumbuiza |
|
TID akiwaburudisha watazamaji |
|
Baadhi ya watazamaji wa Miss Dar city centre 2014 |
Washiriki wa Miss dar city Centre 2014 katika mavazi ya Jioni
|
washiriki wa Miss dar City centre 2014 katika picha ya pamoja wakisubiri kutangazwa Tano bora |
|
Wakisubiri kutangazwa tano bora |
|
Washiriki waliofanikiwa kuingia tano bora Miss dar City centre 2104 Nasreen Abdul (12), Francisca Simon (2), Naomi Kisaka (5) Sabina Thomas (15) na Jihan Dimechk (17) |
|
Washiriki tano Bora wakiuliza Maswali |
|
Mshiriki namba tano(Naomi Kisaka) akijibu swali |
|
Mshiriki namba 15 ( sabina thomas) akijibu swali |
|
Miss dar City centre talent 2014 akivishwa taji |
Mshindi wa Shindano Miss dar City centre 2014 Jihan Dimechk akiwaamepozi
katika tabsamu la furaha baada ya kutangazwa na kuvalishwa taji la kuwa Miss dar City centre 2104.