Timu nne za mpira wa kikapu mkoa wa Dar es salaam
zinatarajia kushiriki mashindano ya kombe la taifa yatakayoanza kutimua
vumbi Desemba nne mwaka huu.
Katibu
mkuu wa chama cha mpira wa wavu mkoa wa Dar es salaam DAREVA Yusuph
Mkalambati amesema, timu hizo zitapatikana Desemba 29 mwaka huu baada ya
kumalizika kwa mashindano ya wavu ufukweni.
Mkalambati amesema, timu nne ambazo zitafanya vizuri katika
mashindano hayo zitauwakilisha mkoa wa Dar es salaam katika masshindano
ya kombe la Taifa.
Mkalambati amesema, mashindano ya ufukweni yanaendelea yanashirikisha
timu za klabu za mkoa wa Dar es salaam yakiwa na lengo la kuweza kupata
wachezaji azuri watakaoendeleza kutangza mchezo huo ndani na nje ya
nchi.
No comments:
Post a Comment