Mbwana Samatta ameingia kwenye orodha ya wachezaji 10 wanaowania tuzo
ya mchezaji bora barani Afrika. Samatta anawania tuzo ya mchezaji bora
Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (African Player of the
Year (Based in Africa) 2015.
Mshindi wa tuzo hiyo ataamuliwa kwa kura zitakazopigwa na makocha
pamoja na wakurugenzi wa ufundi wa nchi wanachama wa shikicho la mpira
wa miguu Afrika (CAF).
Pia shirikisho hilo limetoa orodha nyingine ya wachezaji wanaowania
tuzo ya Afrika ambayo inahusisha wachezaji wanaocheza ligi za ndani au
nje ya Afrika.
Tuzo hiyo itakabihiwa kwa mshindi Alhamisi, 7 January 2016 Abuja, Nigeria.
African Player of the – Year Based in Africa
Abdeladim Khadrouf (Morocco & Moghreb Tetouan)
Baghdad Bounedjah (Algeria & Etoile du Sahel)
Felipe Ovono (Equatorial Guinea & Orlando Pirates)
Kermit Erasmus (South Africa & Orlando Pirates)
Mbwana Aly Samatta (Tanzania & TP Mazembe)
Mohamed Meftah (Algeria & USM Alger)
Mudather Eltaib Ibrahim ‘Karika’ (Sudan & El Hilal)
Robert Kidiaba Muteba (DR Congo & TP Mazembe)
Roger Assalé (Cote d’Ivoire & TP Mazembe)
Zineddine Ferhat (Algeria & USM Alger)
African Player of the
André Ayew (Ghana & Swansea)
Aymen Abdennour (Tunisia & Valencia)
Mudather Eltaib Ibrahim ‘Karika’ (Sudan & El Hilal)
Mohamed Salah (Egypt & Roma)
Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Borussia Dortmund)
Sadio Mané (Senegal & Southampton)
Serge Aurier (Cote d’Ivoire & Paris Saint Germain)
Sofiane Feghouli (Algeria & Valencia)
Yacine Brahimi (Algeria & Porto)
Yaya Touré (Cote d’Ivoire & Manchester City)chanzo http://shaffihdauda.co.tz
No comments:
Post a Comment