Nasibu
Abdul a.k.a ‘Diamond’ hivi karibuni aliwachefua waumini wenzake wa dini
ya Kiislam baada ya kutinga kwenye Maulidi akiwa amevaa hereni na
cheni.
Tukio hilo lilijiri maeneo ya Tandale, Dar ambapo mama yake aliyemtambulisha kwa jina la Aunt Shani aliandaa maulidi kwa ajili ya kumshukuru Mwenyezi Mungu.

No comments:
Post a Comment