MSANII wa muziki wa kizazi kipya Nakaaya Sumari hivi karibuni
alikonga nyoyo za mashabiki wake kwa kuzindua albam mpya iendayo kwa
jina la Blessing yenye nyimbo kumi na mbili (12).
Albam hiyo ambayo ni albam yake ya pili ilizinduliwa jijini Arusha na
kuhudhuriwa na mashabiki wa muziki wake kutoka mikoa ya Arusha, Manyara
na Kilimanjaro.
Huku
akiungwa mkono na wasanii wenzake kutoka hapa hapa nchini na nje ya
nchi.
Uzinduzi huo ulipambwa na burudani kabambe kutoka kwa Hisia, G Nako,
Jambo squad wote kutoka Arusha, Naaziz kutoka Kenya, na Nakaaya mwenyewe
yote hiyo nikumpasapoti msanii mwanzao.
Akizungumza kwa furaha mwanadada Nakaaya Sumari alisema kuwa
anawashukuru sana wote waliokuja kumuunga mkono katika uzinduzi wake.
“Nawashukuru sana mashabiki wangu kwa kunipa sapoti ya nguvu kwani wa
lijitokeza kwa wingi, nimefurahi sana kwani huu ni mwanzo mzuri,”
alisema Nakaaya.
“Albam
hii imebebwa na wimbo wa Blessing ambao ni maalum kwa mwanangu kipenzi
kwani yeye ni Baraka kwangu hata napokua mbali naye bado nakua na
matumaini na faraja,” Nakaaya aliongeza kwa msisitizo.
Albam ya Blessing ipo sokoni sasa na inanyimbo nzuri za kuelimisha,
kuburudisha na kuliwaza kama vile Utu uzima dawa, Temana na watu,
Blessing, Beautiful, I am an African, Sister sister, Ngufurie, na
Mwanamke shujaa, kubwa ni kumpa sapoti kwa kununua albam hii.
Meneja mkongwe na muewezeshaji wa Mkubwa na Wanae, Said Fella
amefunguka kuhusu njia alizotumia kutafuta nafasi ya biashara ya wasanii
wake akiwemo ‘Shaa’ kulipwa pale kazi zake zinapowekwa YouTube. Akiongea na tovuti ya Times Fm, Fella amesema yeye na Babu Tale
waliumiza kichwa baada ya kuona wasanii wa Kenya wanaingiza pesa hata
kama hawajatoa wimbo mpya, bila kutegemea shows na ndipo walipoamua
kusafiri hadi Nairobi kuhakikisha wanafahamu nini hasa cha kufanya.
“Kweli tukaenda Kenya, tukaenda kukutana watu tukawauliza ‘jamani nyie
mnaendaje mbona sisi tukiwapelekea wenzetu wanaotuuzia ringtone hapa
Tanzania hatupati faida ile’. Lakini unakuta Jua Cali au Nyota Ndogo
kafanya muziki zamani lakini anaendelea kula faida.” Amesema Said Fella. “Yaani tumesafiria tobo na ndio maana tumelipata tobo. Hata juzi kati
Babu Tale na Diamond walivyoenda Nigeria kwenda kusaka tobo…na ndio
maana tunasema timu yetu Saka Tobo ili kwenda kuangalia wenzetu
wanafanya nini na tunakwenda wapi. Kwa hiyo huwezi kumfuata tu mtu
ukamwambia ebwana tobo hili…wajetuwaoneshe. Watanzania tunapendana.”
Said Fella ameiambia tovuti ya Times Fm. Shaa ambaye kimuziki anasimamiwa na Said Fella hivi sasa analipwa kwa kazi anazoweka kwenye channel ya YouTube. Video yake ‘Sugua Gaga’ imevunja rekodi ya video za bongo flava kwa
kuangaliwa zaidi YouTube, hadi leo imeangaliwa zaidi ya mara 4,656,000.
Are we under the influence of the Carters and their jedi mind tricks once again? Last week, Mathew Knowles dropped a bombshell when he alluded that
Jay and Bey leak their own rumors and create scandals when there are
projects to promote. According to Bey’s father, the huge elevator fight
between Jay Z and Solange and all those divorce rumors helped sell more
tour tickets, so could we have been struck by the Jedi Mind trick again
this weekend? On Friday, ironically a week before Beyonce’s HBO special premieres,
news outlets reported that Jay Z hinted that Beyonce was pregnant during
Friday’s show in Paris. It all happened during his performance of my
‘Beach Is Better’ when he changed the lyric, “I replace it with another
one” to “she’s pregnant with another one.” There were also some photos
that leaked online that looked as though Beyonce was carrying a baby
bump on stage. (Mind you, just last week, she was spotted at the Made In America tour throwing back beers with a flat stomach.) After reviewing the audio from the show a few times, Jay without a
doubt, did not change the lyrics…. but wouldn’t Beyonce announce her
pregnancy in a grander fashion anyway? You know, like including the
sonogram on some secret album that appears on our Iphones at 12:04 am on
a Sunday morning? Everything Beyonce does is big…and changing lyrics to
a song just isn’t big enough. What we do know is that those divorce rumors are definitely out of the window. Last night, as the couple wrapped up the last ‘On The Run’ tour date
in Paris, they shared a very sentimental moment that proves they are
still very much in love. As Beyonce grew emotional on stage, Jay Z revealed:
We love Paris. It’s special to us because we got engaged here and this is where baby Blue was conceived
Beyonce also told Jay:
I’m your biggest fan. I love you!
In which Jay Z replied:
I want to say that it’s been an honor and a pleasure
sharing a stage with you. I couldn’t dream of anything else than to be
in a stadium with the woman I love. Who I believe is the greatest
entertainer of our time. Make some noise for Beyonce! What a beautiful
night and I will never forget this
Miss America 2015 Winner Is Miss New York Kira Kazantsev; Plus the Competition's Top Moments
Three-peat!
Beating
out 52 contestants from around the country (plus the District of
Columbia, Puerto Rico and the U.S. Virgin Islands), Miss New York Kira Kazantsev was crowned Miss America 2015 at the annual pageant in Atlantic City, New Jersey, on Sunday, Sept. 14.
The 2013 queen, Mallory Hagan, and the 2014 winner, Nina Davuluri, the latter on-hand to pass on her tiara, both hailed from New York as well, making this a three-peat for the Empire State.
The
blonde beauty, 22, seemed to be an early favorite: She sashayed down
the ivory runway in her magenta bikini and sky-high heels with ease.
Then, Kazantsev took the stage to sing a rendition of Pharrell’s Oscar-nominated hit, “Happy,” while keeping beat with a plastic red cup a la Anna Kendrick in Pitch Perfect.
Miss Ohio was a fan favorite with her ventriloquist talent during the Miss America 2015 competition
To
snag the win, the Hofstra University student, who walked away with a
$50,000 scholarship, trumped the competition in the Q&A segment,
when she thanked our female Senators for standing up for women in the
military against assault, a position answered with applause from the
audience in Boardwalk Hall. “Everyone deserves the right to be happy and
be respected,” she said.
Other exciting moments during the competition: Early on in the night, Miss Idaho Sierra Sandison,
a diabetic contestant who gained a following by competing in her home
state while wearing her insulin pump, was awarded the “America’s Choice”
spot. Shortly after, hosts Chris Harrison and Lara Spencer
announced that there would also be a 16th finalist—a last-minute
“Judge’s Choice”—which went to Miss Congeniality, Miss North Dakota Jacky Arness.
Miss Ohio Mackenzie Bart,
a ventriloquist with a divalicious blonde puppet, had one of the
evening’s most entertaining talent performances when the duo performed
the beloved Mary Poppins song “Supercalifragilisticexpialidocious.”
And there was one, slightly scandalous moment, quickly noted by the Miss America’s viewers on Twitter: When Miss Nebraska Megan Swanson
leaned over to say something to one of the other finalists, she
accidentally flashed the crowds, immediately making her a trending
topic.
Shirika la upelelezi la Marekani (FBI) linachunguza tuhuma kwamba picha za siri za watu maarufu ziliibiwa na kutumwa mtandaoni.
Muigizaji Jennifer Lawrence alikuwa mmoja wa waathiriwa baada ya mdukuzi kutuma picha zaidi ya 60 mtandaoni.
Mastaa hao wapatao 20, akiwemo muigizaji wa kike wa Marekani Jennifer
Lawrence, naye picha zake zilivujishwa kwenye mtandao wa Internet.
Inafahamika kuwa baadhi ya picha hizo zilipatikana katika huduma ya Apple iCloud ambayo husaidi ujumbe uliopo mtandaoni.
Huduma
ya Apple iCloud ndio iliyomsaidia mdukuzi asiyejulikana kuchukua picha
chafu za Jennifer Lawrence na mastaa wengine 100 na kuzivujisha
mtandaoni.
Apple nao imesema inachunguza kuwa kama akaunti ya iCloud ilifanyiwa udukuzi.
Bi Lawrence, ambaye ni nyota katika filamu za The Hunger Games,
ameomba kufanywa uchunguzi baada ya mdukuzi kupata picha, zenye ujumbe
wa picha, kutoka simu za mkononi za mastaa kadhaa.
Msemaji wa FBI aliiambia Associated Press kwamba “wako makini na tuhuma hizo na wanalishughulikia suala hilo”.
Naye msemaji wa Apple Nat Kerris alinukuliwa na Reuters akisema
kwenye barua pepe; “Huwa tunalinda faragha za watumiaji kwa umakini
mkubwa na tunachunguza ripoti hii.”