skills za kitaa

Tuesday, May 6, 2014

Peter wa P Square anunua gari lenye Thamani ya sh. Milioni 300


MSANII nyota  Peter Okoye wa nchini Nigeria toka katika kundi maarufu la 'P-square' ameamua kuonesha Jeuri ya kuzidi kumiliki pesa ndefu baada  ya kuonesha Gari Yake Mpyaa yenye thamani ya zaidi Milioni 300 za kitanzania.

 Hali hiyo ya ununuaji wa gari hilo la kifahari imekuja siku chache tu baada ya kumaliza matatizo yao kwenye familia na ndugu zake,matatizo  ambayo bado hayajajulikana kama yalikuwa ni kweli au ni amsha amsha za kibiashara zao za kimuziki.


kwa siku za karibuni imesemekana yeye na ndugu zake wawili  hawakuwa kwenye maelewano kwa kipindi kifupi lakini sikuchacheche zilizopita wameweza kuandika ku- tweet maneno ambayo yaliashiria wamemaliza tofauti zao.

LUPITA NYONGO AKIWA KATIKA VAZI HILI VIPI





Tuesday, April 29, 2014

Jackline Wolper Ampiku Agness Masogange Kwa Pedeshee Wa Kihindi, Ni Yule Aliyetoa Milioni 40 Kwa Ajili Ya Kumchumbia Masogange

Msanii Wolper akiwa na Prence Kass maarufu kama Muhindi wa Masogange
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Xdeejayz imenasa picha za msanii nyota wa filamu za Kibongo Jackline Wolper akiwa na mfanyabishara mmoja wa kihindi mwenye pesa ndefu aliyefahamika kwa jina la Prence Kass maarufu kama Muhindi wa Masogange.
Agness  Masogange ambae aliwahi kutolewa barua ya uchumba na Muhindi huyo mapema mwaka huu, hata hivyo haikufahamika mambo hayo yaliishia wapi.
Picha hizo zinazowaonesha wawili hao wakiwa kwenye moja ya viunga vya Club ya usiku iliyopo Oysterbay/ Masaki ambapo hata hivyo uhalisia wa picha hizo unamuonesha Wolper akiwa bwii kiasi cha kuubetua mdomo wake ambapo sio kawaida kwa mtu mwenye ufahamu na staa kama yeye kupiga picha zenye pozi baya kama hizi.
Msanii Wolper akiwa na Prence Kass maarufu kama Muhindi wa Masogange hapa nyota huyo akionekana akiwa amelewa uso unamajibu kwani hilo sio pozi la kawaida la mdomo kuubetua kiasi hicho.Inatoka kwa mdau.

Thursday, April 24, 2014

MKE WA PETER WA P SQUA AFUNGUKA

Wakati mashabiki wa kundi la muziki linaloiwakilisha vizuri Afrika kidunia P-Square kutoka Nigeria wanaendelea kuwaombea ndugu hao wamalize tofauti zao, mke wa Peter Okoye aitwaye Lola Omotayo, amevunja ukimya kwa kuzungumza baada ya ripoti kumtaja kuwa sehemu ya chanzo cha matatizo ya familia hiyo yaliyojitokeza.
Kupitia ukurasa wake wa facebook Lola ambaye ni mama wa watoto wawili wa Peter ameandika:
“I’m a Lady of Substance though I have my Shortcomings, I might not be Loved by Everyone but the People that matters to me hold me in High Esteem and thats enough for Me.”
Peter Okoye na mkewake LolaKwa mujibu wa Naija Gists, chanzo kimoja kimesema ndugu hao wanafanya jitihada za kumaliza tofauti zao.

VIDEO HII IKIRUKA KWENYE TV STATION ZA BONGO, TV HIYO LAZIMA IFUNGIWE FASTA KWANI NI CHAFU SANA

Mwanzoni ikiwa inaanza unaweza kusema kwamba ni ya kawaida, sasa cha kufanya jump hadi dakika 2 na sekunde 34 ambapo kwanza utakutana na warning ya Close your eyes then kinachofuata ni balaa.Msanii huyu anaitwa Maheeda maarufu kama bad girl wa Nigeria na video hii ina kick sana youtube hivi sasa lakini kwa uhakika haitachezwa kwenye vituo vya nchi nyingi sana.

Monday, April 21, 2014

Diamond aingizwa katika kuwania tuzo za MTV MAMA 2014


MTV Base  wametangaza watakao wania tuzo MTV Africa Music Awards 2014. 

Mwanamziki kutoka Tanzania Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo hizo kupitia vipengele viwili moja wapo ikiwa ni Best male ambapo anachuana na Anselmo Ralph (Angola), Davido (Nigeria), Donald (South Africa) na Wizkid (Nigeria).

kipengele cha pili ambapo Diamond amechaguliwa ni kipengele cha Best Collable ambapo wimbo wa "My Number 1" aliomshirikisha Davido unachuwana na  Mafikizolo feat May D – ‘Happiness’ (South Africa/Nigeria) R2bees feat Wizkid – ‘Slow Down’ (Ghana/Nigeria) Uhuru feat DJ Buckz, Oskido, Professor, Yuri Da Cunha – ‘Y-tjukutja’ (South Africa/Angola)
kupitia akaunti yake yainstagram Diamond ameandika 
 "I strongly believe that its without a doubt The Undying support from the media, my beloved fans plus my fellow artists that has made me get nominated in these categories.... I really appreciate it alot... So lets put more energy and support Now so dat I actually get the awards Cause if I win this will bring more Pride and Respect to our Nation.....
( Naamini kutokana na support kubwa toka kwa media, mashabiki, Wasanii na wadau mbalimbali ndio zimesababisha mimi kuteuliwa na kuwa mmoja wa wakilishi katika tunzo hizi... kiukweli nawashkuru sana, tena sana... Tafadhari naomba mzidi kuniwekea nguvu na support zaidi ya mwanzo ili tuweze kutwaa tunzo hizi...na kuleta sifa na Heshima nyumbani....)"


 MUSIC CATEGORIES

Best Male:
Anselmo Ralph (Angola)
Davido (Nigeria)
Diamond (Tanzania)
Donald (South Africa)
Wizkid (Nigeria)

Best Female:
Arielle T (Gabon)
Chidinma (Nigeria)
DJ C’ndo (South Africa)
Efya (Ghana)
Tiwa Savage (Nigeria)

Best Group:
Big Nuz (South Africa)
Mafikizolo (South Africa)
Mi Casa (South Africa)
P Square (Nigeria)
Sauti Sol (Kenya)

Best New Act:
Burna Boy (Nigeria)
Heavy K (South Africa)
Phyno (Nigeria)
Stanley Enow (Cameroon)
Uhuru (South Africa)

Best Live Act:
2face (Nigeria)
Fally Ipupa (DRC)
Flavour (Nigeria)
Dr Malinga (South Africa)
Zakes Bantwini (South Africa)

Best Collaboration:
Amani ft Radio and Weasel – ‘Kiboko Changu’ (Kenya/Uganda)
Diamond feat Davido – ‘Number One’ (Remix) (Tanzania/Nigeria)
Mafikizolo feat May D – ‘Happiness’ (South Africa/Nigeria)
R2bees feat Wizkid – ‘Slow Down’ (Ghana/Nigeria)
Uhuru feat DJ Buckz, Oskido, Professor, Yuri Da Cunha – ‘Y-tjukutja’ (South Africa/Angola)

Artist of the Year:
Davido (Nigeria)
Mafikizolo (South Africa)
Mi Casa (South Africa)
P Square (Nigeria)
Uhuru (South Africa)

Song of the Year:
Davido- ‘Skelewu’ (Nigeria)
DJ Clock feat Beatenberg – ‘Pluto’ (Remember Me) (South Africa)
DJ Ganyani feat FB – ‘Xigubu’ (South Africa)
DJ Kent feat The Arrows –‘Spin My World Around’ (South Africa)
Dr Sid feat Don Jazzy – ‘Surulere’ (Nigeria)
KCee - ‘Limpopo’ (Nigeria)
Mafikizolo feat Uhuru ‘Khona’ (South Africa)
Mi Casa- ‘Jika’ (South Africa)
P Square – ‘Personally’ (Nigeria)
Yuri Da Cunha -‘Atchu Tchu Tcha’ (Angola)

Best Hip Hop:
AKA (South Africa)
Ice Prince (Nigeria)
Khuli Chana (South Africa)
Olamide (Nigeria)
Sarkodie (Ghana)

Best Pop:
Danny K (South Africa)
Fuse ODG (Ghana)
Goldfish (South Africa)
LCNVL (South Africa)
Mathew Mole (South Africa)

Best Alternative:
Gangs of Ballet (South Africa)
Michael Loman (South Africa)
Nakhane Toure (South Africa)
Parlotones (South Africa)
Shortstraw (South Africa)

Best Francophone:
Arielle T (Gabon)
Espoir 2000 (Ivory Coast)
Ferre Gola (DRC)
Toofan (Togo)
Youssoupha (Congo)

Best Lusophone:
Anselmo Ralph (Angola)
JD (Angola)
Lizha James (Mozambique)
Nelson Freitas (Cape Verde)
Yuri Da Cunha (Angola)

NON MUSIC CATEGORIES

Personality of the Year:
Chimamanda Adiche (Nigeria)
Omotola Jalade Ekeinde (Nigeria)
Trevor Noah (South Africa)
Lupita Nyong’o (Kenya)
Yaya Toure (Cote d’Ivoire)

Transform Today by Absolut
Anisa Mpungwe (Tanzania)
Clarence Peters (Nigeria)
I See a Different You (South Africa)
Leti Arts (Ghana)
Rasty (South Africa)

Voting for the MTV Africa Music Awards is open HERE from 16 April 2014 until midnight on 4 June 2014.

For more information on the MTV Africa Music Awards KwaZulu-Natal supported by Absolut & The City of Durban, please go mama.mtv.com like us on Facebook, follow us on Twitter @MTVBaseAfrica. To join the conversation about the awards please use the hashtag #MTVMAMA.

Gagasi FM is the official radio media partner of the 2014 MTV Africa Music Awards KwaZulu-Natal supported by Absolut & The City of Durban.

WEMA SEPETU NA KIM KARDASHIAN NI KAMA MAPACHA LAO NI MOJA TU..!! SOMA HAPA

 

Kama ulikuwa unamfahamu mpenzi mpya wa Rapper Kanye West, ndiye huyu aitwaye Kim Kardashian, ni mmoja kati ya watu maarufu sana ambao vibemagazineTz research imefanywa na kuona kuwa wote kumbe wanafanana maisha yao katika mambo mengi sana, ingawa tofauti ni location waishizo, kwenye hili, utashangaa ni jinsi gani wanavyofanya yao kama vile wanaambizana na utagundua na kuona kuwa ni haki kabisa kuamini kuwa watu hawa wawili lao ni moja.
Wote wanamahusiano na wanamuziki maarufu.
collanvge
Wema Sepetu akiwa yeye mwenyewe ni mtu maarufu teyari, haitoshi bado nayeye kufikia hatua ya kuzama katika penzi la mwana muziki maarufu East Africa na Africa kwa ujumla maarufu kama Diamond Platnum aka Dangote,huku nae Kim Kardashian yeye akiwa ndiye amefunga kazi na kutua moyo wake kwa rapper maarufu duniani, Kanye West.
Kila mmoja anamiliki Reality Tvshow.
collajjcge
Chakushangaza zaidi ukitaka kuamini kuwa, wawili hawa kweli lao moja ni hapa kwenye Reality Tvshow, Wema Sepetu anamiliki show inayokwenda hewani kwenye television ya hapa Tzee, kwenye show yake maarufu anayoiendesha mwenyewe iitwayo, In My Shoes, ikielezea maisha yake halisi ya kila siku, na matukio mbali mbali yamtokeayo. Kwa upande wa Kim Kardashian naye ana Tvshow yake ila kwa huyu show hiyo inaendeshwa na mama yake mzazi, inayoelezea maisha ya familia yao na matukio mbali mabli yanayohusu familia nzima ya Kardashian, haswa yanayomhusu Kim.
Wote wanamsukumo mkubwa kwa jamii.
colln,nage
Ukiongelea kuhusu Wema Sepetu hapa Tzee au East Africa hakuna mtu ambaye ni geni kwake jina hili, na inasemekana ni mmoja kati ya watu maarufu wenye msukumo mkubwa kwa jamii, kwa vile kila shabiki wa msanii huyu atataka kuiga kile Wema Sepetu afanyalo au kuvaa, huku Kim Kardashian ndo amezidi kuwa kama role model wa kila msichana anayekua kwa asilimia kubwa sana ya jamii nyingi duniani, kufuatilia ni nini amevaa, nk
wawili hawa ni waigizaji maarufu.
collage
Kama Dangote aka Diamond Platnumz waliweza kukaa chini na kanye West, basi unaweza kuamini kuwa hapa kwa hili walipanga, cause Wema Sepetu na Kim Kardashian wote ni waigizaji maarufu, ila kwa upande wa Wema Sepetu ameweza kucheza movie nyingi zaidi yake Kim.
Wote ni talk of the town  na wanajiweza kifwedha.
collagkskde
Ukiongelea Wema Sepetu na Kim Kardashian, tukiongelea kwenye upande mzima wa urembo na jinsi walivyoumbika , unaweza kusema wamependelewa na kwa mwanaume wa kawaida, umwonapo mmoja wao bila hata yakugeuga mara tano hivi, hata kama upo na mamaa pembeni, basi ukapimwe hautakuwa mzima kabisa.
Ukiachana na umaarufu wao wa hawa warembo wawili,ukiachana na utajiri mkubwa waliopata kutokana na kazi zao za kila siku, mbali na uigizaji na bishara nyingine nyingi wazifanyazo, honestly speaking, these ladies are loaded, kifamilia zaidi upande wote kwa Sepetu na Kardashian, na ni watu wenye majina makubwa sana, ukiongelea kati ya watu maarufu wanaojiweza kifwedha basi hawa nao wamo.

Source: Vibe Magazine