skills za kitaa

Sunday, December 15, 2013

Jana Man City ilitupia 6 Arsenal



article-2523310-1A19974C00000578-636_634x376_286d7.jpg
Ni baada ya kuifungia timu yake goli Sergio Aguero akishangilia 

Sergio Aguero akishangilia
article-2523310-1A19A33600000578-428_634x393_d0e8a.jpg
Walcott akishangilia goli lake dhidi ya man city
KLABU ya Manchester City imeonyesha ni hatari kweli, baada ya jioni ya jana kuifumua Arsenal mabao 6-3 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliofanyika Uwanja wa Etihad.
Mabao ya City yamefungwa na Sergio Aguero dakika ya 14, Alvaro Negredo dakika ya 39 Fernandinho mawili dakika za 50 na 88 David Silva dakika ya 66 na Yaya Toure dakika ya 90.
Theo Walcott alirejea uwanjani kwa mara ya kwanza leo tangu Septemba na akafunga mabao mawili ya Arsenal dakika za 31 na 63, wakati lingine lilifungwa na beki Per Mertesacker dakika ya 90

Wednesday, December 11, 2013

Miley Cyrus Twerks on Santa, Ariana Grande Spreads Cheer at Jingle Ball



From Miley to Macklemore, pop’s biggest stars rung in the holidays at 102.7 KIIS FM’s Jingle Ball in Los Angeles on Friday.
Following their seven Grammy nominations, Macklemore & Ryan Lewis rocked the Staples Center and brought out Schoolboy Q to perform “White Walls.”
Despite feeling under the weather, pint-sized diva Ariana Grande was cute as can be in a wintery white dress while singing an acoustic version of “Honeymoon Avenue” and her holiday single “Last Christmas.” She had technical difficulties during her set, but that didn’t stop her.
“I’m sorry if my mic was off the whole entire time. At least you know I’m not a track, right?” she told the crowd.
Some interpreted the comment as shade, but she took to Twitter to clear the air. “Ohhh jesus. I wasn’t throwing shade AT ALL I didn’t even see anyone else’s set. I was sick backstage that’s why I didn’t even do the carpet,” said Ariana.

Miley Cyrus was more naughty than nice during her provocative performance. The pop singer remixed her set for the holidays, twerking on St. Nick and dancing with sexy reindeer and a Christmas tree while performing “We Can’t Stop” and “#GETITRIGHT.”
“You are a VERY BAD Santa @CheyneThomas,” Miley told her friend.
Robin Thicke performed “Blurred Lines” with T.I. and caught up with his VMA partner-in-crime Miley backstage. His wife Paula Patton also stopped by to support her man, who was nominated for three Grammys earlier in the evening.
Jordin Sparks helped her boyfriend Jason Derulo cool off following his sweaty set, while other performers included Travie McCoy, Austin Mahone, Selena Gomez, and Enrique Iglesias.

The Game Honors Nelson Mandela with Tattoo



The Game Tattoo
The Game is keeping the memory of Nelson Mandela alive. The Compton MC tatted a photo of the late South African president on his body. After a seven-hour session, he showed off the finished piece on Instagram.
“The finished ‘Nelson Mandela’ lookin out of the prison bars by @NikkoHurtado done on my side. 7 hour sitting…. Few more hours to tie in the tats around it & we solid,” he said.
Game praised Mandela, calling him “one of the greatest leaders of our time.”
The Mandela tat is the latest in a series that includes his three kids, Trayvon Martin, and President Obama.
The Game Tattoo

MSANII SHAA AFUNGUKA KUHUSU PENZI LAKE NA MASTER J



Akihojiwa katika kipindi cha ng'ari ng'ari, Shaa alisema," mimi sikuwa sababu ya kuachana kwa wao wawili (master jay na mama watoto wake),kwani ugomvi au kuachana kwa watu wawili huwa inahusu wao wenyewe wawili ila sio mtu watatu.
Na kwakuwa mimi nilikuwa nimetoka kutendwa ilichukua muda kidogo hadi kuja kuwa na mahusiano na Master Jay hata yeye pia aliniambia alikuwa...

Msome hapa chini mshindi wa Tusker Project Fame 6

Mshiriki wa Burundi, Hope Jumapili iliyopita aliibuka mshindi wa shindano la Tusker Project Fame msimu wa 6.
Hope aliwabwaga waimbaji wa Kenya, Amos na Josh waliokuwa kipenzi cha wengi na ambao waliaminika wangeweza kuwa washindi.
Baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa shilingi milioni 5 za Kenya (takriban shilingi milioni 100 za Tanzania) Hope hakuamini masikio yake na alilala chini kwa furaha huku baadaye akionekana kutaka kuanguka kwa butwaa kubwa aliyokuwa nayo na washiriki kumshikilia.
Mshindi huyo wa Tusker Project Fame 6 amejishindia pia mkataba wa mwaka mmoja wa kurekodi chini ya record label ya Sony Music Africa.
Nafasi ya pili imekamatwa na Wakenya hao, Amos na Josh na kufuatiwa na Daisy wa Uganda huku mwakilishi wa Tanzania, Hisia akikamata nafasi ya nne.
Katika fainali hiyo, washiriki walioingia tano bora walitumbuiza nyimbo zao wenyewe walizozirekodi na pia kuoneshwa video za nyimbo hizo.

Waliowahii kuigiza nafasi ya Mandela katika filamu mbalimbali

Danny Glover Mandela (1987)



Sidney Poitier Mandela and de Klerk (1997)



Lindane Nkosi, ni raia pekee wa Africa ya kusini aliyewuigiza kama Nelson Mandela. filamu ya Drum(2004)


Dennis HaysbertGoodbye Bafana (2007)



Clarke PetersEndgame (2009)



Morgan FreemanInvictus (2009)



David HarewoodMrs. Mandela (2011)



Terrence Howard  Winnie Mandela (2011)



Idris ElbaMandela: Long Walk to Freedom (2013)

Monday, December 9, 2013

TASWIRA:MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AKIFUNGA RASMI MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA KUHUSU ELIMU YA AFYA YA UZAZI KWA VIJANA


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa pamoja na viongozi waandamizi waliohudhuria mkutano wa High Level Group hukom Cape Town wakisimama kwa dakika moja kwa ajili ya kumkumbuka hayati Rais Nelson Mandela. Kutoka kushoto ni Bwana Enver Surty, Waziri wa Elimu ya Msingi wa Afrika Kusini, Dr. Festus Mogae, Rais Mstaafu wa Botswana, Mama Salma, Bwana Luiz Loures, Naibu Mkurugenzi Mtendaji, UNAIDS, Dr. Julitha Onabanjo, Naibu Mkurugenzi Mkuu, UNFPA, Bwana Qian Tang, Naibu Mkurugenzi Mkuu-Elimu- UNESCO, Bwana Geeta Rao Gupta, Naibu Mkurugenzi Mtendaji, UNICEF.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa Mawaziri kutoka nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika kuhusu elimu ya afya ya uzazi kwa vijana wa nchi hizo. Mkutano huo wa siku mbili unafanyika nchini Afrika Kusini katika Mji wa Cape Town tarehe 6-7.12.2013.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wakisikiliza hotuba ya ufungaji iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete huko Cape Town nchini Afrika Kusini tarehe 7.12.2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa Botswana na Mjumbe wa High Level Group Dr. Festus Mogae wakati wa kikao cha Mawaziri wa Elimu na Afya kutoka nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika unaofanyika Cape Town nchini Afrika Kusini tarehe 7.12.2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga picha na Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS, Bwana Michel Sidibe wakionyesha umuhimu wa dhana nzima ya mkutano wa High Level Group ( YOUNG PEOPLE TODAY, TIME TO ACT NOW) kuhusiana na masuala ya elimu ya afya ya uzazi kwa vjijana katika nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika.
Mawaziri wa Elimu na Afya kutoka nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wakiapa kwa niaba ya nchi zao kutekeleza majukumu waliyopitisha kwenye kikao cha High Level Group, kuhusiana na elimu ya afya ya uzazi ( comprehensive sexuality education and sexual and reproductive health services) mwishoni mwa kikao cha siku mbili kilichofanyika huko Cape Town.Picha na John Lukuwi