Dressed in their traditional green and yellow bikinis and high heels,
the models were spotted stomping the curb in Brazil’s financial centre.
skills za kitaa
Saturday, August 8, 2015
Friday, August 7, 2015
Pamoja Films Production kuingiza Ujio wa Filamu nne sokoni
Pamoja Films ProduPamoja Films Production ambayo ni kampuni ya Lufingo , tayari mwezi huu
inaingiza ujio wa filam nne ambapo moja ya majina ya filamu hizo ni ujio
uitwao'Tanga Raha',iliyochezwa na King Majuto na yeye
mwenyewe huku wasanii wengine pia wakihusika.

Msanii huyu pia amezitaja filamu zingine kuwa ni 'Wazawa' ambapo katika ujio huo
mhusika
mkuu ni Happy Nyirenda inayozungumzia maisha ya vijana huku ujio
mwingine uiki iitwa 'Kanya Boya' ambapo washiriki humo ni Mzee
Majanga,Kid Rasta Tinn White na inaelezea viajna ambao awana kazi na
kujihusisha na mambo ya mapenzi.
Lufingo ameitaja fialmu nyingine kuwa ni 'Kijiwe' ambapo nyota walionesha ubunifu mkubwa
ni pamoja na Kid Rasta pamoja na Mzee Majanga.
Shetani anatumia njia ofauti kuteka roho ya msanii huyu
Rapa Sarkodie amefunguka kuhusu jambo zima la imani na maisha yake kupitia mitandao yake ya kijamii.
Sarkodie aliandika ” Sisomi bible ila
najua mwisho wa dunia patakuwa na wengi wenye dhambi nyingi, shetani
anajaribu kupotosha watoto wa Mungu, ila kama tutaweza mpinga shetani na
kumtegemea Mungu kwa kila jambo basi atatuokoa ”
Sarkodie anaendelea kuandika ” Hatuongea na watu wa ukweli, hatujui tutakufa lini, shetani anatumia njia ofauti kuteka roho yangu ” .
“I don’t normally read the Bible but I
know that at the end time the world will be full of sin. The devil is
trying to mislead the children of God. ‘But if we could also desist from
evil and depend on God for everything, then He’ll save us. We do not
wrestle against the flesh my lovely people, it’s very dangerous. We
don’t know when we will die, if tomorrow or tonight. Satan is using
different ways to take my souls from me (GOD)!!! Instagram Facebook
Twitter music….everything!!!!”. ”
Davido alivyokutana na rapa staa wa Marekani Future.
Staa wa muziki kutoka Nigeria anazidi kujichanganya na mastaa wa
Marekani baada ya weekend hii kukutana na Future. Future ni msanii wa
rnb na rapa ambaye hivi karibuni alionglewa sana baada ya kupata mtoto
wa Ciara na kutengana naye.
Davido alikutana na Meek Mill na baadae walifanya kazi, so tunategemea collabo na Future ?
Kama unatafuta nyumba ya kupanga.? 50 Cent yupo tayari kutatua tatizo lako
Msanii wa hip hop Marekani 50 Cent amekuwa akiingia kwenye headlines
mbalimbali mara baada ya kutangaza kuwa amefilisika na safari hii
headlines zinazomhusu 50 Cent ni za yeye kutafuta mpangaji wa nyumba
yake iliyopo Connecticut Marekani.
Taarifa hizi zilianza kusambaa kwa fujo siku ya jumatano baada ya kukamilisha mkutano wake na Wanasheria.
Mwanasheria wa 50 Cent, Stephen Savva alisema japo hakuna mkataba wa upangishaji uliofikiwa kupangisha nyumba yake ya Farmington Mansion ambayo 50 aliinunua mwaka 2003
wamekuwa wakifanya mipango ya kupangisha nusu ya nyumba hio yenye
vyumba 21, majiko 9 na casino lakini mpaka sasa rapper huyo hajabahatika
kupata mpangaji.
Bado hatujasikia kiasi cha pesa ambacho msanii huyo atatoza kama kodi
ya nyumba, ila documents zilizowasilishwa Mahakamani zinasema kuwa 50
Cent amekuwa akilipa dola 72,000 (Tzs.Milioni 144) kwa mwezi tu kama
hela ya matunzo ya nyumba hiyo ambayo ni tofauti na kodi yake ya nyumba!
Duh! Unadhani hapa 50 Cent atapata mpangaji kweli kama matunzo yenyewe ndio hayo?
Subscribe to:
Comments (Atom)
