skills za kitaa

Thursday, January 16, 2014

WADADA WA TZ WANAOONGOZA KWA KUTOKEZEA KWENYE CAMERA "PHOTOGENIC"


Vibe inakuletea list ya mastaa wakali ambao wanapogusa camera au mtu yoyote kutaka kuwapiga picha basi tegemea picha moja kali sana na hii ndio maana nzima ya mrembo kuwa photogenic.Mastaa waliofanikiwa kuingia katika list ni :-
Jokate Mwengelo
 Linah Sanga
Elizabeth Michael (Lulu)
 Rita Paulsen
 Jackline Wolper
Wema Sepetu


 Irene Uwoya 

Monday, January 13, 2014

Leo ni Holiday



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ally Mohammed Shein kwa makubaliano na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete wametangaza jana kuwa Leo (jumatatu 13jan2014) kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

25 USIYOYAJUA KUHUSU NIKKI MINAJ


April 25, Nicki Minaj ataonekana kwenye filamu yake ya kwanza, The Other Woman akiwa na Cameron Diaz.Rapper huyo mwenye miaka 31, amefunguka kupitia mtandao wa Us Weekly mambo 25 usiyoyajua kumhusu.

1. I hate getting my nails done.
2. I can spend hours glued to Investigation Discovery. It’s my favorite network.
3. I think Martin Lawrence is a genius.
4. I’m obsessed with Rice Krispies Treats.
5. For one month straight, I watched The Devil Wears Prada until I fell asleep every night.
6. I enjoy doing laundry.
7. I’m a homebody.
8. I’ve had the same group of girlfriends for as long as I can remember.
9. I’m always cold.
10. Some of my favorite labels are Giuseppe Zanotti, Roberto Cavalli, Chanel and Versace.
11. My pet peeve is when people spend lots of money just to impress others.
12. My father taught me how to make curry chicken.
13. I’m the best cook on the planet.
14. I’m now listening to beats for my third album.
15. My brothers are my world.
16. I can’t stand going to meetings or talking on the phone.
17. I also hate texting and having to return emails.
18. I collect paintings of Marilyn Monroe.
19. I’ve always loved acting.
20. My first movie, The Other Woman, comes out next year.
21. I just may have a song on the soundtrack!
22. My go-to snack is strawberry-banana yogurt.
23. I bought some really sexy lingerie the other day.
24. My fans inspire me.
25. I plan to write a book about my life — someday!

Thursday, January 9, 2014

Stella ambaye ni Dem wa Prezzo ameonekana kumfuata Hasheem Thabeet Marekani


Demu wake prezzo anayejulikana kwa jina la Stella au unaweza kumuita Chagga Barbie alikua kwenye game ya Oklahoma City Thunder vs a Minnesota Timberwolves huko marekani akimtazama kijana wa kitanzania Hasheem Thabeet akicheza kikapu.Katika Mchezo huo ambao  Thunders waliwafunga Timber wolves 115 kwa 111 na baada ya  mechi hiyo stella alipata nafasi ya kuhang na Hasheem Thabeet.
Hasheem Prezzo 2 Hasheem Prezzo 3 Hasheem Prezzo

VIBE

Soma Justin Bieber na Selena Gomez mapenzi tele, wajiachia na baba yake Bieber


Inaonekana mambo yanazidi kurudi kwenye mstari kati ya mastaa wawili Justin Bieber na Selena Gomez ambao kwa muda mrefu mapenzi yao yamekuwa na drama ambazo zilionekana kuupasua moyo wa Selena Gomez, na kutangaza mara kadhaa kuwekana kando.
Siku kadhaa baada ya kuzagaa ripoti kuwa mastaa hao wamerudiana, wameonekana wakitoka pamoja na kwenda mapumzikoni Jumamosi, January 4.
Mfanyakazi wa SeasCape Beach Resort katika eneo la Santa Cruz, aliiambia KSBW kuwa Bieber na Selena Gomez waliambatana na baba yake Justin Bieber, Jeremy Jack na kwamba walilala katika eneo hilo na kuondoka kesho yake asubuhi.
“We were so very excited. He came Saturday night and left Sunday afternoon. He and his friend (were) riding his Segway through the campground and toward Manresa (State) Beach. It was the best thing ever.” Alisema mfanyakazi mmoja.
Hata hivyo, Bieber na Selena hawakutaka kufahamika kwa hiyo walivyaa mavazi tofauti huku Selena akivaa wig kichwani ili iwe vigumu kufahamika.
Lakini mashuhuda waliiambia KSWB kuwa walipogundua kuwa watu wameanza kuwafahamu, walikimbia ili wakajifiche lakini wakiwa katika harakati za kukimbia wig la selena lilianguka na nywele zake ndefu nyeusi zilionekana.

Hawafanani Sauti tu, wanafananana sura

Mara ya kwanza tu Recho alipoanza kusikika, sauti yake ilianza kufananishwa na ya Ray C. Kuanzia kwenye Kizunguzungu, Upepo na Nashukuru Umerudi, Recho alikuwa Ray C mtupu. Hata hivyo hiyo haikumsumbua, Ray C ambaye alisema kuwa ni faraja kumsikia Recho akiimba kama yeye na tangu hapo wamekuwa marafiki.
Lakini wawili hawa, hawafanani sauti tu. Picha hii (hapo juu) iliwekwa na Ray C kwenye Instagram na wengi walidai kuwa, warembo hao wanafanana kama mapacha vile. Soma baadhi ya maoni hayo hapo chini.
 @ ] bintikhaliph Mnafanana kila kitu natamani ungepunguuua ukawa km zamani 
 [ @ ] nditolemassai Mmefanana don tel me ur siblings?.
 [ @ ] happyndunguru Inawezekana nyie ni twins. Mmoja alitoroshwa na nes na kuwa adopted. Hahahaha hii ni movie.. 
 [ @ ] brebree255 mmefanana sana isee... 
 [ @ ] gsengo Yupi kulwa yupi doto? 
 [ @ ] yusbayser Kwel dunian wawiliwali 
 [ @ ] mariamkhalfani Kama mapacha vile mwaaaaah 
 [ @ ] medevanshez Mmefanana
 [ @ ] sporahcute Uuh mmefanana Kama mapacha. 
 [ @ ] nargnyfa Yani mnafanana sauti hadi sura sasa 
 [ @ ] fansuli Umependeza kama mapacha!
 [ @ ] dimplesally Heey u guyz r soo twiny really identical frm another mother I guess... ha ha ha haaa.Stori hii ilionekana kutisha mwakajana.

KUTOKA FACEBOOK KUHUSU MAFANIKIO YAKE YA 2013 NDANI YA TP MAZEMBE MBWANA SAMATA


Mbwana Aly Samatta Nafurahi kwamba ndani ya mwaka 2013 nimekua mfungaji bora ndani ya kikosi cha TP Mazembe kwa kuwa na Magoli 20, Pia mchezaji aliecheza mechi nyingi katika timu io, Pia moja ya wachezaji wanaowaniwa na timu za Ulaya.. asante ‪#‎Tanzania‬ Asante ‪#‎TP‬ Mazembe Asante ‪#‎Africa‬.... TP Mazembe wananiita ‪#‎SAMAGOAL‬ ..... I love football..... Bendera inapepea....