skills za kitaa

Friday, October 4, 2013

MARIA CASTELO - MISS ANGOLA ALIEIWAKILISHA VEMA NCHI YAKE MASHINDANO YA DUNIA 2013




23 year old Maria is a student working towards her graduation. Born and raised in the capital city Luanda, Maria has aspirations of pursuing her interests in social activism, championing causes that she believes in, as well as working towards creating a successful career in business.
In her spare time she enjoys playing handball, reading and she has skills in singing and performing traditional Angolan dance. A fan of music, Maria’s favourite genres are gospel and RnB.
*Endelea kufuatilia tutakujuza dondoo za maisha ya mamiss wote walioshiriki miss world 2013

Wednesday, October 2, 2013

DAWA ZA KULEVYA : REHEMA FABIAN AKILI KUKAMATWA

 

WAKATI msanii Agness Gerald ‘Masogange’ akisubiriwa kutua Dar baada kumaliza msala wake huko Afrika Kusini, skendo ya baadhi ya wasanii Bongo kuhusishwa na usafirishaji wa madawa ya kulevya ‘unga’, lingine limeibuka ambapo Video Queen Rehema Fabian amekiri kukamatwa nchini China kwa ishu hiyo.

Wiki mbili zilizopita kulizagaa habari kutoka kwa marafiki wa karibu wa Rehema ambao walidai kuwa mshiriki huyo wa Miss Kiswahili 2009 alikamatiwa huko Shaghai baada ya kukutwa na mwanaume aliyekuwa na unga.
Baadhi ya Watanzania waishio China walitofautiana ambapo wakati wengine wakidai kuwa alikamatwa na wapo waliosema kukamatwa kwake kulitokana na kupitiliza muda wa kuishi nchini humo tofauti na viza yake inavyoeleza.
Katika kipindi hicho chote, Ijumaa Wikienda limekuwa likimsaka ambapo wikiendi iliyopita lilifanikiwa kuchati naye ili kupata ukweli wa ‘niuz’ hizo.
Ijumaa Wikienda: Mambo vipi Rehema?

Rehema: Mambo poa tu. Nani mwenzangu?
Ijumaa Wikienda: Unachati na gazeti la Ijumaa Wikienda. Kuna taarifa zimezagaa Bongo kuwa umekamatwa na unga China. Hizi habari zina ukweli?
Rehema: Ni kweli nilikuwa mahabusu. Mateso ya huko wee acha tu. Nilipata kesi lakini si yangu ila namshukuru Mungu nimetoka salama.
Ijumaa Wikienda: Kesi inahusu nini na kama ilikuwa haikuhusu kwa nini ulikamatwa?
Rehema: Nilikamatwa na mtu (hakutaka kumtaja na ni nani kwake) alikuwa na unga, nimekaa mahabusu wiki mbili na siku mbili. Uzuri huyo mtu alikataa mbele ya polisi kuwa hanifahamu na sihusiki ndipo nikaachiwa.

NJIA YA MAJI TAKA YAKISIWA KUWATOROSHA MAIDI WA AL SHAAAB HUKO NAIROBI


Wakati bado kuna maswali mengi kuhusu magaidi waliohusika na shambulio la Westgate kama kweli waliuawa kama isemavyo taarifa ya serikali ya Kenya, mtandao wa Mirror umetoa taarifa kuhusu tetesi za uwezekano wa magaidi hao kutorokea njia ya maji taka kutoka katika jengo hilo.
Mtandao huo umedai kuwa baadhi ya magaidi walitoroka kupitia njia ya maji taka iliyoko chini ya jengo la Westgate inayoenda kutokea katika mto Nairobi.

Kwa mujibu wa habari hiyo njia hiyo inaanzia eneo la maegesho ya magari katika jengo la Westgate na inaenda moja kwa moja kutokea katikati ya jiji la Nairobi. Magaidi hao wanahofiwa kutumia njia hiyo ya maji taka kutoroka na kuwaacha wengine wakiendelea kushambulia.

Taarifa hiyo inaendelea kudai kuwa wana usalama wanadai kuwa magaidi wa Al-shabaab walisafiri umbali wa nusu maili kwa magoti katika njia hiyo ya chini ya ardhi katika njia ya maji taka.

Chanzo kimoja kilisema “They escaped like sewer rats. The terrorists would have been able to pass through the underground tunnels at a rapid pace and surface almost unnoticed”.

Taarifa hiyo inaendelea kusema kuwa wachunguzi wa Kenya hawakuigundua njia hiyo ya kutorokea mpaka masaa 72 kupita baada ya shambulio kutokea.

Hapa ndipo inapotokea njia hiyo ya maji taka kutoka Westgate hadi katikati ya jiji la Nairobi

"POUR IT UP: YA RIHANNA NI KIBOKO YA NJIA


Rihanna
After teasing with some photos over the weekend, Rihanna has revealed even more behind-the-scenes pics from the “Pour It Up” video. The bad gal showcases her racy look, rocking stripper heels as she sits in a throne with money piled up at her feet.
Clad in a curly blonde wig, she works the chair in different positions with dollar bills stuffed in her underwear. She flaunts her long legs and turns around to reveal her red thong poking out through her torn denim shorts.
Following some creative issues with the director, the provocative video is expected to premiere in the next week starring dancers including Nicole “The Pole” Williams.
Rihanna
Rihanna
Rihanna
Rihanna
Rihanna

BEHIND THE SCENE YA KICHUPA CHA SUMA MNAZARETH-SOUTH AFRICA


BEHIND THE VIDEO: RIHANNA "POUR IT UP"


Rihanna
Strippers, dollar bills, and lots of skin. Rihanna showcases the art of pole dancing in the racy video for “Pour It Up.” After teasing with some behind-the-scenes pics, she has released video footage from the set.
RiRi not only stars on screen, she also calls the shots off screen as co-director. She enlists some famous exotic dancers including Nicole “The Pole” Williams, Candace Cane, and Secret Moneii.
“We got her a dressing room and then we got her ass another dressing room,” joked Rihanna of the latter.
The ladies splash their cheeks in a pool of water and perform acrobatics on the pole. “I bet you never seen bitches twerk on water. My bitches twerk on water. No basic zone, no basics,” said RiRi.
Go behind the scenes of her most scandalous video yet.

CHABO HII HAPA SISTADUU AMTEMBEZEA KICHAPO KIJANA ALIEMWANGUSHA KWENYE MAJI




clip_image002Dada akiwa amebebwa alipokuwa akivushwa kwa malipo kwenye dimbwi la maji ya mvua eneo la Magomeni Kagera, Dar es SalaamMbebaji akiwa amemwangusha dada huyo kwenye dimbwiDada akimkunja kijana aliyemdondosha kwenye dimbwi. Wasamaria wema wakimsaidia dada kumtoa kwenye dimbwiDada akilia baada ya kuokolewa.